Tuesday, February 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwanahistoria, mwanasaikolojia na mwanafunzi wa tabia za binadamu siku zote aliwaogopa na kuwatenga kando Wamarekani kila alipozingatia hatima ya nchi yetu na watu wake. Hata hivyo, katika siku za karibuni 'warithi' wake ambao hawajakaa wakafikiria kwa undani mantiki ya Mwalimu kuhusiana na hili wameanza kutuonesha kuwa eti tunaweza kuwaamini na kuwafanya Wamarekani masahiba zetu. Tufikiri tena upya!
No comments:
Post a Comment