Tuesday, February 14, 2012

Elimu


Elimu hakika mali

Kusoma kubwa adili

Vinginevyo si kauli

Elimu

Halali

Amali

Asali

Mali

Kweli

Rijali na wanawali

Waipate kwa kamili

Itawafikisha mbali

Awali

Dahili

Sahili

Kabili

Kubuli

Badili

Za waswahili akili

Wajue lililo mali

Na lisilokuwa mali

Elimu kubwa amali!

No comments: