{ Kufeli na kufaulu}
Feli, umefeli mwana
Haukufaulu mwana
Umeanguka mwana
Hili halina maana
Eti tena bei huna
Kijijini
Na mjini
Thamani
Baini
Sio duni
Kufaulu na kufeli
Huwa updande wa pili
Katika pachaze mbili
Hupasi wasio kweli
Wakafeli walo wakweli
Dunia iso halali!
Hakiki
Dhihaki
Kiso haki
Unafiki
Hamaki
Shitaki
Riziki
Lukuki
Haqq !!!
No comments:
Post a Comment