Sherehe na starehe
Katikati ya msiba hukuti
Shrerehe na starehe
Kwenye njaa israfu
Sherehe na starehe
Zina saa na wakati wake
Vinginevyo huwa uchuro
Na watu kuwaawangia
Kama wachawi mkawa
Makaburini kwenda chimbua
Maiti za watu kuzitoa
Na karamu kujifanyia!
Februari 8, 2012,
Dar es Salaam.
Monday, February 6, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment